Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara ya Rironi-Mau Summit kuanza juma lijalo

  • | KBC Video
    5,954 views
    Duration: 3:17
    Rais William Ruto alikuwa na shughuli nyingi Jumatatu huku akihudhuria kongamano la 14 la chama cha kimataifa cha majaji wa wakimbizi na uhamiaji jijini Nairobi na pia kuidhinisha ujenzi wa barabara ya umbali wa kilomita 170 ya Rironi-Naivasha-Mau Summit utakaoanza katika muda wa majuma mawili yajayo. Kwenye kongamano hilo la kimataifa aliwahimiza majaji kudumisha usawa, ujasiri na uhuru ili kuhakikisha kwamba kila mkimbizi na mhamiaji anasikizwa na kushughulikiwa kwa uadilifu na hadhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive