Marehemu Cyrus Jirongo alifariki kutokana na majeraha yaliyotokana na ajali ya kifuani na tumboni pamoja na uti wa mgongo. Haya ni kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi wa maiti yake uliofanywa na Dkt Joseph Ndungu ambaye ni daktari wa familia. Matokeo hayo pia yalionyesha kuwa, mifupa ya miguu yote miwili ilikuwa imevunjika. Ini lake pia liliathirika , mishipa ya damu ilivunjika na uti wa mgongo uliharibika.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive