Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wamuomboleza aliyekuwa waziri Joseph Konzolo

  • | KBC Video
    427 views
    Duration: 3:16
    Aliyekuwa waziri Joseph Konzolo Munyao ameombolezwa kuwa kigogo wa kisiasa aliyetetea demokrasia kupitia uadilifu akiwa mmojawapo wa viongozi wa muda mrefu zaidi wa chama cha Democratic. Kwenye ibada ya wafu iliyoandaliwa jijini Nairobi na kuhudhuriwa na viongozi wa upinzani na mawaziri wenzake wa zamani waliohudumu katika serikali ya Kibaki wahutubu walitoa wito kwa wakenya kutafakari kuhusu hali ya taifa iliyochochewa na amali za marehemu Munyao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive