- 253 viewsDuration: 5:19Cheche za kisiasa zilishamiri hivi leo huku baadhi ya viongozi wa kisiasa wakielezea ajenda zao na kuangazia masuala tata kwa wananchi. Mrengo wa upinzani umepuuzilia mbali madai ya mgawanyiko huku wanasiasa wanaoegemea upande wa serikali wakifutilia mbali madai ya viongozi wa upinzani kwamba ripoti ya kamati ya maridhiano ya kitaifa almaarufu NADCO haitekelezwi kikamilifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive