Skip to main content
Skip to main content

Usajili wa wavulana katika shule za upili wapungua zaidi

  • | KBC Video
    93 views
    Duration: 3:24
    Mashirika ya kijamii yamelalamikia kupungua kwa idadi ya wavulana wanaojiunga na shule za sekondari kutoka asilimia 51.2 mwaka 2020 hadi asilimia 45 mwaka 2024. Mashirika hayo yalionya kwamba hali hiyo huenda ikageuka kuwa mzozo ikiwa mtoto wa kiume atawezeshwa na kuzingatiwa. Mashirika hayo pia yalitoa wito kwa wizara ya elimu kutoa uhamasishaji na kuhakikisha wanafunzi wanajiunga na shule za sekondari kuambatana na matokeo ya hivi punde ya KJSEA. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive