- 1,130 viewsDuration: 4:17Wakenya wengi wanasema nchi inaelekea mwelekeo usio sahihi. Asilimia 68 wanaamini Kenya iko kwenye mkondo mbaya Hali ya kukata tamaa kwa umma imekuwa ikiongezeka tangu 2023. Asilimia 17 pekee wanasema nchi iko kwenye mwelekeo sahihi. Asilimia 83 ya wakazi wa Mlima Kenya wanasema nchi inaelekea pabaya. Mlima Kenya ndiyo eneo lililoridhika kwa kiwango cha chini zaidi. Asilimia 67 ya Wakenya wanataja uchumi kuwa tatizo kuu la nchi. Ukosefu wa ajira, umaskini na gharama ya juu ya maisha ndio wasiwasi wa kitaifa. Maoni ya umma kuhusu Serikali Jumuishi yanaendelea kubadilika. Kenya bado imegawanyika kuhusu Serikali Jumuishi. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __