- 67 viewsDuration: 2:04Halmashauri ya udhibiti wa sekta ya mabawabu wa kibinafsi imeanza vikao vya ushirikishi wa umma kuhusu kielelezo cha kanuni za usalama cha mwaka 2025. Vikao hivyo vinatafuta maoni ya wadau kuhusu kanuni za kulainisha sekta hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive