Mashirika ya kijamii nchini yamehuisha wito wa uwajibikaji katika uongozi kwenye mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mashirika hayo, yakiwemo Tume ya Haki za Binadamu na Transparency International, yamelalamikia kile wanachokitaja kuwa ukandamizaji katika mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive