- 49 viewsDuration: 1:46Taasisi za kiufundi humu nchini zimekumbatia mfumo mpya wa kuwapa wanafunzi elimu bora na ambayo inahitajika katika sekta ya ajira. Mfumo huo unalenga kuwapatanisha wanafunzi na wataalam katika sekta ya ufundi na viwanda ili wafaidike na utaalam hitajika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive