Mkurugenzi Mkuu wa kamati andalizi ya tuzo za mwaka huu za Tukuza, Boniface Milimo amesema wameafikiana mkataba mpya na Bustani ya Butah. Kupitia ushirikiano huo, washindi watano wa tuzo hizo watagharamiwa likizo ya siku tatu huku msimu wa sikukuu ukinukia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive