- 62 viewsDuration: 1:39Wakazi wa mtaa wa Ododa katika kaunti ya Migori wanalalamikia mipango ya kuwafurusha kutoka mahali hapo ili kupisha mradi wa nyumba za gharama nafuu. Wakazi hao waliojawa masikitiko wanasema walinunua ardhi hiyo miongo mingi iliyopita ila maafisa wa wizara ya ardhi hawakuwakabidhi hati miliki. Maafisa wa serikali ya Migori wanasisitiza ardhi hiyo ni ya umma na imetengewa mradi wa nyumba za gharama nafuu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive