Skip to main content
Skip to main content

Wasanii na wabunifu kubadilishana maarifa katika tamasha la Blankets & Wine

  • | KBC Video
    49 views
    Duration: 1:12
    Wasanii na wabunifu wa Kenya na Uingereza watabadilishana maarifa na uzoefu katika tamasha la blankets and wine litakalofanyika katika The Laureate. Hafla hiyo itatumika kuangazia tamaduni za Kenya na Uingereza, jambo ambalo waandaaji wanasema litaongeza na kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive