Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wauawa kufuatia wizi wa mifugo Meru

  • | KBC Video
    210 views
    Duration: 1:37
    Watu watatu wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia misururu ya wizi wa mifugo uliopangwa kwenye maeneo matatu katika kaunti ya Meru. Kamishna wa kaunti ya Meru Jacob Ouma alisema kikosi cha pamoja na GSU pamoja na kile cha polisi wa akiba vilitumwa ili kusaidia kurejesha mifugo hao. Wakati wa tukio hilo, kulitokea ufyatulianaji wa risasi uliosababisha mauaji ya mfugaji mmoja na polisi wawili wa akiba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive