- 366 viewsDuration: 3:01Watu 63 wakiwemo wawakilishi wadi wawili wamekamatwa kuhusiana na ghasia zilizoshuhudiwa jana huko Ikolomani, kaunty ya Kakamega.Wawakilishi wadi hao wawili Achadius Liyayi wa wadi ya Idakho ya kati na mwakilishi wadi maalum Ann Mulwale wanashukiwa kufadhili kundi lililohusika na ghasia lzilizovurugha mkutano uliokuwa umeitishwa kujadili mpango uliopendekezwa wa kuwahamisha wakazi wa kijiji kimoja cha sehemu hiyo ili kutoa nafasi kwa uwekezaji katika uchimbaji madini ya dhahabu.Wakati wa ghasia hizo watu wane waliuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadhaa wanauguza majeraha hospitalini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News