Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wahimizwa kuwashirikisha watoto katika malezi na kuwapa maadili wakati wa likizo

  • | KBC Video
    96 views
    Duration: 1:33
    Wazazi wametakiwa kuwashirikisha watoto wao katika shughuli za malezi na kuwapa maadili wakati huu wa likizo. Aliyekuwa Mwakilishi Wadi ya Kariobangi Kaskazini, Julius Maina Njoka, amewataka wazazi kufuatilia mienendo na shughuli za watoto wao wakati huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive