Skip to main content
Skip to main content

Waziri Mbadi ahimiza ODM kuunga mkono serikali

  • | KBC Video
    172 views
    Duration: 58s
    Waziri wa fedha John Mbadi amewarai wafuasi wa chama cha ODM kuendelea kuunga mkono serikali jumuishi. Akizungumza huko Uriri, katika kaunti ya Migori , Mbadi alisema mpangilio wa sasa ndio njia bora zaidi kwa nchi hii, huku akiwahimiza wakenya kuepuka siasa za migawanyiko. Mbadi alisema kusalia serikalini ndio njia bora zaidi ya kuenzi urathi wa marehemu Raila Odinga Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive