Skip to main content
Skip to main content

Wito watolewa wa uwekezaji zaidi katika dawa za kiasili

  • | KBC Video
    50 views
    Duration: 1:29
    Kuna haja ya uwekezaji zaidi katika dawa za kiasili, ili kupanua fursa za huduma za afya humu nchini. Mkurugenzi wa kampuni ya Harriet Botanicals, Harriet Chebet, alisema uwekezaji unaoambatana na usaidizi wa sera katika suluhu za kitamaduni utasaidia pakubwa kwa pamoja na huduma za afya za kisasa, na kupanua fursa za matibabu kwa wakenya. Alikuwa akizungumza wakati wa tuzo za mwaka huu za wakurugenzi bora 100 jijini Nairobi ambako kampuni yake iliibuka ya pili katika kitengo cha utengenezaji bidhaa na uvumbuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive