Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Tinderet waitaka serikali imtafute mgombea wa kiti cha ubunge cha eneo hilo aliyetoweka

  • | Citizen TV
    85 views
    Duration: 2:02
    Kwa siku ya saba mfululizo, wakazi wa eneo bunge la Tinderet kaunti ya Nandi, wamekuwa wakiandamana wakitaka serikali imtafute mgombea wa kiti cha ubunge cha eneo hilo aliyetoweka .