Skip to main content
Skip to main content

Jeshi lamuapisha Jenerali Horta N'Tam kama rais mpya wa Guinea Bissau, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    70,228 views
    Duration: 28:10
    Jeshi la Guinea-Bissau limemteua jenerali kuiongoza nchi hiyo siku moja baada ya kuchukua madaraka. Jenerali Horta N'Tam ndiye rais wa mpito kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kula kiapo na kuapishwa katika sherehe fupi katika makao makuu ya jeshi hii leo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw