Skip to main content
Skip to main content

Viongozi 5 maarufu waliowahi kushtakiwa mahakama ya ICC

  • | BBC Swahili
    68,019 views
    Duration: 2:47
    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita mjini The Hague ICC imetakiwa kuchunguza madai ya mauaji ya watu wengi wakati wa msako mkali wa maandamano wakati wa uchaguzi nchini Tanzania mwezi uliopita. Lakini mwandishi wa BBC @frankmavula anaangazia viongozi watano maarufu ambao waliwahi kufikishwa katika mahakama hiyo - - #bbcswahili #tanzania #siasa #icc #mahakama #uchaguzimkuu2025