- 7,328 viewsDuration: 4:33Siasa za urithi wa kiti cha gavana zilishamiri katika kanisa la AIPCA Dayosisi ya Gatundu Kaskazini huko Karure kaunti ya Kiambu kati ya gavana Kimani Wamatangi na mbunge wa Thika mjini Alice Ng'ang'a. Wakati wa ibada ya Jumapili iliyohudhuriwa na Rais William Ruto na viongozi wengine kutoka eneo hilo, Ng'ang'a kwa mara nyingine alielezea nia ya kumng’atua Wamatangi mwaka 2027, huku gavana Wamatangi akishikilia kuwa atawania muhula wa pili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive