- 11,883 viewsDuration: 2:54Wafanyabiashara huko mtwapa kaunti ya kilifi wanalalamikia ongezeko la wizi unaotekelezwa na kundi la vijana wanaolenga maduka ya kuuzia simu, bidhaa za kieletroniki na sehemu za kutoa pesa. Kwenye kisa cha hivi punde mmoja wa wezi wanaosakwa na polisi alinaswa na kamera za cctv akimhadaa mfanyakazi wa duka la mpesa pamoja na vifaa vya elekroniki na kutoweka na pesa. Francis Mtalaki alizuru eneo hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.