- 20,920 viewsDuration: 2:15Kanda za kipekee za cctv sasa zimeonyesha matukio, dakika chache kabla ya kifo cha mbunge wa zamani wa lugari Cyrus Jirongo. Kamera hizi zikionyesha namna gari ya jirongo ilivyohusika kwenye ajali hiyo alfariji ya jumamosi iliyopita.