Skip to main content
Skip to main content

Watoto wanne wapotea Nairobi

  • | Citizen TV
    8,975 views
    Duration: 3:19
    Familia tatu hapa jijini Nairobi zinawasaka watoto wao waliopotea katika njia tatanishi katika mitaa za Pipeline na Huruma. Watoto owen mauti na allan onduso wenye umri wa miaka minane na mitatu mtawalia ni miongoni mwa walitoweka kwa zaidi ya siku kumi zilizopita.