Skip to main content
Skip to main content

Mashimo ya Nakuru yashuhudiwa kwa miaka mitatu sasa

  • | Citizen TV
    13,083 views
    Duration: 5:18
    Kaunti ya Nakuru kwa miaka mitatu sasa imekuwa ikishuhudia kuporomoka kwa sehemu mbali mbali na kusababisha mashimo maeneo hayo. Mabadiliko haya hujitokeza zaidi wakati mvua kubwa inaponyesha katika kaunti ya nakuru. Ni hali iliyolazimu mamia ya familia kuhamishwa, na hata wengine kusalia kwenye hofu kila mara hatari inapojitokeza.