- 5,107 viewsDuration: 2:43Rais William Ruto amewataka viongozi wa ODM kukiimarisha chama hicho na kuweka kando tofauti zao ili kuhakikisha kinafaidi zaidi matunda yaserikali. Kwenye hafla kaunti ya migori, viongozi wa ODM nao wameapa kuendelea kusalia serikalini na kumuunga mkono rais william ruto kukamilisha muhula wake.