5 Nov 2025 1:18 pm | Citizen TV 116 views Chama cha walimu KUPPET kinatishia kupiga kambi katika ofisi za tume ya kuajiri walimu TSC kote nchini kushinikiza serikali kuwaajiri walimu 20,000 wanaohudumu chini ya kandarasi.