Jamii Kilifi yahamasishwa dhidi ya mauaji ya wakongwe

  • | Citizen TV
    618 views

    Kampeni ya kuhamasisha jamii dhidi ya mauwaji ya wazee kwa madai ya kuwa wachawi imeanzishwa ili kukomesha visa hivyo katika kaunti ya Kilifi.Kampeni hiyo iitwayo Mdzi ni Muthumia au Mzee Ni Nguzo inajiri wakati ambapo mauaji ya wazee yamekithiri mno eneo hilo. maafisa wa utawala wameelezea umuhimu w akuhamasisha jamii kuhusu suala hilo ili kuafikia suluhu ya kudumu. Kesi nyingi kaunti ya kilifi zinahusu ardhi na dhulma kwa wazee .