- 54 viewsShirika la kukadiria Viwango vya bidhaa (KEBS) kwa ushirikiano na Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda limeandaa kikao cha ushirikishwaji wa umma kukusanya maoni kuhusu Mswada wa kubadilisha sheria ya shirika hilo katika kaunti ya Trans Nzoia.