Maji ya mvua yatuama katika kivuko cha mokowe Lamu

  • | Citizen TV
    302 views

    Wahudumu wa bodaboda pamoja na wahudumu wa magari katika kaunti ya Lamu wanalalamikia changamoto ya kunyeshewa na mvua katika kivukio cha Mokowe kufuatia ukosefu wa sehemu ya kujikinga mvua. Eneo hilo la gati ya Mokowe pia limetuama maji na matope hali inayowatatiza wakaazi kuendeleza shughuli zao.