Skip to main content
Skip to main content

Maporomoko ya maji ya Shedrick yavutia watalii katika mbuga ya Shimba hills, Kwale

  • | Citizen TV
    5,553 views
    Duration: 3:35
    Watalii wanaozuru Pwani wametambua sehemu zingine za kuvutia mbali na fukwe za bahari walizozoea msimu huu sherehe za mwisho wa mwaka . Kaunti ya Kwale ikiendelea kufichua vivutio vipya vya kiasili ndani ya mbuga ya Shimba Hills. Maporomoko ya maji ya Shedrick yamekuwa sehemu ya kipekee inachochanganya utulivu, mandhari na safari ya kusisimua. Lawrence Ng'ang'a anaarifu zaidi kutoka Kwale.