- 1,809 viewsDuration: 2:51#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Rais William Ruto ameeleza kuwa ana imani chama chake cha UDA na chama cha ODM vitashirikiana kwenye uchaguzi mkuu ujao na kuunda serikali pamoja. Rais Ruto, alipohudhuria maadhimisho ya tamaduni ya jamii ya luo yanayojulikana kama pinya luo, aliwahimiza wandani wa ODM kuhakikisha wanazingatia umoja na uwiano ndani ya chama. Hii ni kufuatia mvutano unaoibuka kuhusu hatma ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews