5 Nov 2025 1:19 pm | Citizen TV 78 views Muungano wa wanawake Kaunti ya Turkana chini ya mwavuli wa 'VOICE OF THE WOMEN' wamejitokeza na kukashifu mauaji ya kila mara kwenye mpaka wa Kaunti za Turkana na Pokot Magharibi .