- 3,305 viewsDuration: 3:03Rais William Ruto na kiongozi wa chama cha ODM Oburu Odinga wameashiria uwezekano wa kuafikiwa kwa mkataba baina ya vyama vya UDA na ODM kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza alipohudhuria Makala ya tano ya sherehe ya Piny Luo katika kaunti ya Migori, rais alisema kuwa vyama hivyo viwili vinafaa kujiimarisha mashinani tayai kwa uchaguzi huo huku Oburu akisema atawasilisha asilimia kubwa ya kura ili nao washiriki zaidi serikalini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive