- 6,414 viewsDuration: 2:51Kwa takriban miezi miwili sasa, muda ambao umetangazwa na Rais William Ruto kwa Kenya kufikia viwango vya mataifa tajiri zaidi ulimwenguni umebadilika mara tatu. Hapo jana rais ruto alitangaza kwamba kenya itakuwa imefikia nusu ya safari hiyo mwakani. Mpango huo utakaogharimu shilingi trilioni 5, umeibua masuali chungu nzima kutoka kwa upinzani unaosema ahadi ya rais ni ndoto.