Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya Jamii za Maa yafanyika amboseli Kajiado

  • | Citizen TV
    172 views
    Sherehe ya utamaduni wa Jamii ya Maa ambayo imewaleta pamoja wakazi wa Jamii hiyo Kutoka kaunti za Samburu, Narok,Kajiado na Laikipia inaanza rasmi hii Leo, Katika Mbuga ya Amboseli, Kaunti ya Kajiado.