5 Nov 2025 1:15 pm | Citizen TV 76 views Kwa siku ya saba mfululizo, wakazi wa eneo bunge la Tinderet kaunti ya Nandi, wamekuwa wakiandamana wakitaka serikali imtafute mgombea wa kiti cha ubunge cha eneo hilo aliyetoweka .