5 Nov 2025 1:23 pm | Citizen TV 124 views Siku mbili baada ya watahiniwa wa gredi ya 9 kukamilisha mitihani yao ya kitaifa, watahiniwa zaidi ya elfu tatu walikutana katika kanisa la kiangilikani jijini nakuru kwa ushauri nasaha.