Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Nairobi kupumzika siku mbili kila mwezi wakati wa hedhi

  • | BBC Swahili
    9,765 views
    Duration: 1:31
    "Huu sio upendeleo. Ni kutambua uhalisia na ukweli unaambatana na wafanyakazi wa kike na ni hali ya kibaolojia’’. - Serikali ya kaunti ya Nairobi nchini Kenya imeidhinisha rasmi likizo ya siku mbili kila mwezi wakati wa hedhi kwa wafanyakazi wake. Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alisema hatua hii ni muhimu kwa takriban nusu ya wafanyakazi wa kauti ya Nairobi. Vipi eneo lako la kazi? Kuna sheria yoyote ya wakati wa hedhi? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw