Skip to main content
Skip to main content

Raila aliugua kwa mwezi mmoja unusu kabla ya kifo chake; alizungumza na Rais Ruto kuhusu afya yake

  • | KBC Video
    347 views
    Duration: 3:28
    Afya ya marehemu Raila Odinga ilianza kuzorota yapata mwezi mmoja unusu ulipita.Rais William Ruto anasema aliyekuwa waziri mkuu huo alimfahamisha kuwa alikuwa mnyonge na anatumia dawa.Sauti yake yaikuwa ikisikika vyema alipomfahamisha Rais kwamba alikuwa ameenda kwa matibabu katika hospitali kadhaa nchini Marekani na Dubai. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive