- 165 viewsDuration: 2:30Uchungu alioupitia Raila Odinga wakati akitafuta wadhifa wa urais hautasahaulika. Hilo ni hakikisho lillotolewa na kiongozi wa chama cha Wiper kalonzo Musyoka, alipotoa heshima zake kwa marehemu waziri mkuu wa zamani Raila Odinga ambaye alimtaja kuwa ndugu yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive