Aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga na kiongozi wa chama cha ODM amezikwa.Kiongozi huo wa chama cha ODM amezikwa karibu na kabuti la babake huko Kang'o ka Jaramogi Bondo, kaunti ya Siaya kwenye mazishi yaliyojawa na huzuni yaliyohudhuriwa na Rais Willian Ruto ,mtangulizi wake rais mstaafu Uhuru kenyatta na maafisa wakuu serikalini .Aliyekuwa Rais wa Nigeria Olesegun Obasanjo pia alihudhuria mazishi hayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive