Skip to main content
Skip to main content

Maseneta walalamikia kudhoofika kwa vituo vya afya Kitui

  • | KBC Video
    53 views
    Duration: 1:38
    Kamati ya afya katika bunge la seneti imeelezea kufadhaishwa na kudhoofika kwa hali ya vituo vya afya vya umma katika kaunti ya Kitui. Kamati hiyo iliyotembelea hospitali ya kaunti ya Kitui ilitaja msongamano wa wagonjwa, vifaa vibovu na wagonjwa wawili kutumia kitanda kimoja pamoja na uhaba mkubwa wa wauguzi kama baadhi ya changamoto hizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive