- 17 viewsDuration: 2:03Wakati ulimwengu unapoadhimisha mwezi wa saratani ya titi, wataalamu wanawahimiza Wakenya kutafuta huduma za uchunguzi na matibabu ya mapema ili kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Takwimu za wizara ya afya za mwaka 2024 zinaashiria kwamba visa 7000 vya ugonjwa huo hunakiliwa humu nchini kila mwaka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive