Skip to main content
Skip to main content

Uhaba mkubwa wa maji wakithiri Dhololo, Kilifi

  • | KBC Video
    135 views
    Duration: 1:31
    Wakazi wa Kijiji cha Dhololo katika wadi ya Magarini, Kaunti ya Kilifi, wanakabilwa na uhaba mkubwa wa maji huku ukame ukiendelea kukumba eneo hilo. Wenyeji wanasema hali hiyo inawalazimu kuamka kabla ya mawio ya jua na kutembea takriban kilomita kumi na mbili kuchota maji kutoka kisima kilicho eneo jirani la Kambicha. Hali hii pia imeathiri wanafunzi, kwani shule nyingi hazina maji jambo ambalo linahatarisha afya yao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive