- 11,601 viewsDuration: 2:05Wataalamu wanasema si vyema kutumia mswaki kwa zaidi ya miezi 3 ili kuhakikisha mswaki wako unakusaidia kuosha meno, sio kueneza vijidudu Mwandishi wa BBC @_phillys anatueleza mambo muhimu ya kuzingatia, Tuambie kwenye maoni, unabadilisha mswaki wako baada ya muda gani? - - #bbcswahili #afya #usafi