Skip to main content
Skip to main content

Killian Nyambu : Tumewakutanisha vijana, wazee, na wadau mbalimbali

  • | KBC Video
    56 views
    Duration: 4:19
    Killian Nyambu, NCIC Deputy Director Public Education And Engagement: Tumewakutanisha vijana, wazee, na wadau mbalimbali ili kubaini njia tunazoweza kuwasaidia wananchi kuishi kwa maelewano na kukuza maendeleo kwa pamoja. Pia tunajadili jinsi ya kuhakikisha kwamba jamii zetu zinanufaika na madini katika ardhi yetu, kuimarisha umoja, na kutoa fidia kwa wakazi walioathiriwa na migogoro ya binadamu na wanyamapori. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News #AmaniKwaGround #ncic