- 97,421 viewsDuration: 28:16Mtu mmoja anahofiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia mapambano makali kati ya waandamanaji na polisi katika mpaka kati ya Kenya na Tanzania mjini Namanga. Makabiliano hayo yalianza mapema asubuhi na kuendelea kutwa nzima huku waandamanaji wakiingia barabarani kupinga uchaguzi mkuu wa Jumatano nchini Tanzania, ambao wanadai haukuwa huru na wa haki. #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
