Skip to main content
Skip to main content

''Wageni hapa Zanzibar hawana Pesa. Tunakufa kwa njaa. Sokoni bei ya vyakula imepanda sana''

  • | BBC Swahili
    34,926 views
    Duration: 1:36
    Mtandao wa intaneti umerejea nchini Tanzania tangu Jumatatu jioni ya tarehe 3 Novemba. Hata hivyo kwa baadhi ya maeneo bado unasuasua kujiunga na mitandao ya kijamii na kurasa za mitandaoni. - Zanzibar kwa mfano ambapo biashara kama ya utalii inayoshikilia moyo wa uchumi huo, kukosekana kwa mtandao kuliwaathiri sana watoa huduma na wateja wao, kama ambavyo mwandishi wetu @sammyawami anatuarifu - - - #zanzibar #uchaguzi2025 #maandamano #bbcswahili #foryouSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw