- 11,610 viewsDuration: 3:27Maafisa wa polisi katika kaunti ya Nakuru wameanzisha uchunguzi kubaini wahusika katika mauaji tatanishi ya mzee wa miaka 90 Joseph Kihiti Ndegwa , na mkewe Betrose Wanjiku wa miaka miaka 63. Miili ya wawili hao ilipatikana katika chumba chao katika kijiji cha Muthiga Salgaa, Rongai